Skendo ya Usher kuhusu gonjwa la zinaa la herpes imeendelea kuwa kubwa. Hivi karibuni, mwanamke aliyetambulika kama Jane Doe alimshitaki Usher akitaka alipwe dola milioni 10 kwa kumwambukiza ugonjwa huo.
Na sasa mwanamke huyo amesema amepima na kuonekana ameambukizwa ugonjwa huo wa zinaa na anataka alipwe dola milioni 30 zingine.
Mwaka 2012 muimbaji huyo alimlipa mwanamke mwingine dola milioni 1.1 kwa kumwambukiza Herpes Simplex 2. Jane Doe anadai alifanya mapenzi na Usher mara mbili na mara moja bila kondomu.
0 comments:
Post a Comment