Showing posts with label MUSIC MBELE. Show all posts
Showing posts with label MUSIC MBELE. Show all posts
Saturday, 14 October 2017
MWANAMKE ALIYEDAI KUBAKWA NA NELLY ATAKA KESI IFUTWE
Mwanamke aliyedai kuwa amebakwa na rapper Nelly wa Marekani kwenye basi lake la ziara wikiendi iliyopita anataka mashtaka hayo yafutwe.
Labels:
MUSIC MBELE
Tuesday, 25 July 2017
MWANAMKE ALIYEMSHITAKI USHER KWA KUMWAMBUKIZA GONJWA LA ZINAA ATAKA ALIPWE $40M
Skendo ya Usher kuhusu gonjwa la zinaa la herpes imeendelea kuwa kubwa. Hivi karibuni, mwanamke aliyetambulika kama Jane Doe alimshitaki Usher akitaka alipwe dola milioni 10 kwa kumwambukiza ugonjwa huo.
Na sasa mwanamke huyo amesema amepima na kuonekana ameambukizwa ugonjwa huo wa zinaa na anataka alipwe dola milioni 30 zingine.
Mwaka 2012 muimbaji huyo alimlipa mwanamke mwingine dola milioni 1.1 kwa kumwambukiza Herpes Simplex 2. Jane Doe anadai alifanya mapenzi na Usher mara mbili na mara moja bila kondomu.
Labels:
MUSIC MBELE
Wednesday, 12 July 2017
WIZ KHALIFA AIVUNJA REKODI YA GANGNAM STYLE KWA KUWA NA VIDEO ILIYOANGALIWA ZAIDI YOUTUBE
Video ya wimbo wa Wiz Khalifa ‘See You Again’ aliomshirikisha Charlie Puth imekuwa video iliyotazamwa zaidi Youtube. See You Again imeipiku ile ya msanii wa Korea Kusini, Psy, Gangnam Style kwa kuwa na views bilioni 2.9 huku Gangnam ikiwa na bilioni 2.894.
Labels:
MUSIC MBELE
Friday, 7 July 2017
Download Ngoma kali "BODY TARK" kutoka kwa RAY SYTES!!
24 RADIO inakutambulisha kwako mwanamuziki kutoka marekani anaekwenda kwa jina la Ray Sytes Anazindua ngoma yake kali inayokwenda kwa jina la "BODY TALK" hii ngoma utaisikia hapa kwa mara ya kwanza Tanzania na Africa ameamua kuzindua hapa kwa kua ni redio ambayo inapenya na kuvuka boda akiwa mwanamuziki mkubwa wenzake walimwambia kua kuna redio online inagonga Ngoma kali masaa 24 hawajui ni ya nchi gani ndipo akaamua kunitafuta na kwa kua imeshakua maarufu maeneo ya kwao kwa heshima akaamua aitambulishe Ngoma yake 24 Radio pia ameambatanisha na video yake ambayo nitawawekea pia unawez ukam follow kwenye mitandao ya kijamii pia Facebook -HAPA Instagram HAPA Twitter HAPA
Labels:
MUSIC MBELE
Thursday, 6 July 2017
Picha: Celine Dion akava jarida la Vogue akiwa mtupu
Mwanamuziki mkongwe duniani Celine Dion amekava kwenye jarida la Vogue akiwa mtupu.
Mwanamama huyo mwenye miaka 49, ni moja kati ya wanamuziki wenye heshima kubwa duniani, Kupitia mtandao wa Instagram wa jarida hilo wameweka picha inayomuonesha muimbaji huyo akiwa mtupu pamoja na picha zake nyingine.
Labels:
MUSIC MBELE
Sunday, 2 July 2017
Friday, 30 June 2017
‘Kill Jay Z’ yamchana Kanye West
Leo hii ndio rapper Jay Z ameachaia albamu yake ya 13, iitwayo ‘4: 44’ katika albamu hiyo kuna wimbo unaoitwa ‘Kill Jay Z’ ambao unadaiwa kumchana rapper mwenzie, Kanye West.
Labels:
MUSIC MBELE
Picha: Mastaa waliohudhuria kwenye mazishi ya rapper Prodigy
Alhamisi hii rapper kutoka kundi la muziki wa Hip Hop Marekani, Mobb Deep, Prodigy amezikwa mjini new York.
Labels:
MUSIC MBELE
Wednesday, 28 June 2017
ANGALIA NGUMI KATI YA MEEK MILL NA SAFAREE WAKIMGOMBEA NICK MINAJ ALAFU UONE NICK ALIVYOWAMWAGA WOTE NA KUSEPA SAZE!!
Baada ya kuzichapa kati ya Meek Mill na Safaree siku ya Jumamosi kwenye sherehe ya pre-BET party ya Dj Khaled iliyofanyika Penthouse, West Hollywood, mrembo Nick Minaj amefunguka kuwa hajaumizwa na tukio hilo liliofanywa na ma-ex wake hao.
Labels:
MUSIC MBELE
Subscribe to:
Posts (Atom)









