Pages

HH

Friday 30 June 2017

Picha: Mastaa waliohudhuria kwenye mazishi ya rapper Prodigy

Tokeo la picha la Mobb Deep, Prodigy
Alhamisi hii rapper kutoka kundi la muziki wa Hip Hop Marekani, Mobb Deep, Prodigy amezikwa mjini new York.

Katika mazishi ya rapper huyo yaliyofanyika Frank E. Campbell, Madison Ave yalihudhuriwa na mastaa kibao akiwemo 50 Cent, Remy ma, LL Cool J, Ice-T, na Fat Joe.

Rapper 50 Cent akiwasili maeneo ya msibani
Rapper huyo alifariki Jumanne ya wiki iliyopita mjini Las Vegas, baada ya kuugua ghafla wakati alipokuwa akitumbuiza katika tamasha la ziara ya ‘Art Of Rap’ akiwa na wasanii wenzake kama Ghostface Killah, Onyx, KRS-One, na Ice-T.
Naye Havoc ambaye ni mmoja ya waanzilishi wa kundi la Mobb Deep akiwa na marehemu alikuwa ni miongoni mwa watu wa karibu waliohudhuria kwenye mazishi hayo.

Rapper na muigizaji Ice-T akiwa msibani

Remy Ma (aliyeshika mkoba) na mpenzi wake (aliyevaa cheni na kofia) wakiwa maeneo ya msibani

0 comments:

Post a Comment

Internet Radio