Pages

HH

Friday 30 June 2017

‘Kill Jay Z’ yamchana Kanye West

Tokeo la picha la jay z & kanye
Leo hii ndio rapper Jay Z ameachaia albamu yake ya 13, iitwayo ‘4: 44’ katika albamu hiyo kuna wimbo unaoitwa ‘Kill Jay Z’ ambao unadaiwa kumchana rapper mwenzie, Kanye West.

“You walkin’ around like you invincible, you dropped outta school, you lost your principles/I know people backstab you, I felt bad too/But this ‘fuck everybody’ attitude ain’t natural/But you ain’t the same, this ain’t KumbaYe/But you got hurt because you did cool by ‘Ye/You gave him 20 million without blinkin”/He gave you 20 minutes on stage, fuck was he thinkin’?/’Fuck wrong with everybody?’ is what you sayin’/But if everybody’s crazy, you’re the one that’s insane.” hii ni miongoni mwa mistari iliyopo katika ngoma hiyo.
Mnamo mwaka jana November Rapper Kanye alikatisha tamasha lake la Saint Pablo na kukimbizwa hospitali ambapo baada ya kupana alikuja kumtuhumu Jay Z kwa kutokwenda kumjulia hali.

0 comments:

Post a Comment

Internet Radio