Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mr Blue amezungumzia jinsi ambavyo watanzania walivyoipokea ngoma yake mpya, Siwezi aliyomshirikisha JR. Mr Blue anayetokea kundi la Micharazo ameiambia Dizzim Online kuwa watanzania wengi hawapendi ngoma za kuelimisha.
Showing posts with label MUSIC BONGO. Show all posts
Showing posts with label MUSIC BONGO. Show all posts
Wednesday, 12 July 2017
Sunday, 2 July 2017
Saida asema ngoma na diamond na belle 9 lazima wakae hebu soma alichokisema hapa!!
Muimbaji huyo amedai kibao cha ‘Urugambo’ amekitoa kama kifungua kinywa, badala yake watanzania watarajie kupata nyimbo kali mfululizo.
Saida aliyasema hayo wakati wa mahojiano yake na kaka mkubwa GK wa 24 radio katika kipindi wk end music mix saida aliema hivi hapa mimi pale Diamon kule Bele unategemea nini kama sio kuwatoa jasho raia??
Labels:
MUSIC BONGO
Wednesday, 28 June 2017
Juacali amfagilia Rayvanny
Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop kutoka nchini Kenya, Juacali ameonyesha kufurahishwa na msanii Rayvanny.
Amemsifia msani huyo kutoka WCB, kwa kusema ushindi wake unaupa sifa muziki wa East Afrika kwa kuutangaza zaidi.
Labels:
MUSIC BONGO
Subscribe to:
Posts (Atom)



