Pages

HH

Sunday 2 July 2017

Saida asema ngoma na diamond na belle 9 lazima wakae hebu soma alichokisema hapa!!


Muimbaji huyo amedai kibao cha ‘Urugambo’ amekitoa kama kifungua kinywa, badala yake watanzania watarajie kupata nyimbo kali mfululizo.
Saida aliyasema hayo wakati wa mahojiano yake na kaka mkubwa GK wa 24 radio  katika kipindi wk end music mix saida aliema hivi hapa mimi pale Diamon kule Bele unategemea nini kama sio kuwatoa jasho raia??

Saida anasema nyimbo zinazofuata ni zile alizoimba akiwashirikisha Belle 9 na Diamond Platinumz.
“Urugambo nimetoa kama zawadi kwa Watanzania, niliona nijitambulishe kama chai ya asubuhi, lakini watarajie mambo makubwa kwani hivi karibuni mimi na Belle 9 tutatoa kazi ambayo itawatoa jasho mashabiki wa muziki,” alisema Saida.
Pia muimbaji huyo amedai kwa sasa atahakikisha anaachia nyimbo nyingi kali ambazo zitamuweka vizuri katika tasnia ya muziki.

0 comments:

Post a Comment

Internet Radio