Msani anaeinukia kwa kasi kwenye Gemu la Bongo flever 2GAME ametoa Ngoma yake kali akimshirikisha Van Dach wakati anahojiwa kuhusu ujaji wake amesema amelisoma Game muda mrefu na ameamua kuja kuwapa muziki mzuri mashabiki wake nyimbo hiyo utaisikia ikitambulishwa saa 1 usiku leo kwenye redio yetu pendwa ya 24 radio unaweza ukaisikiliza na kuidownload hapo chini
Sunday, 2 July 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment