Pages

HH

Thursday 6 July 2017

Picha: Celine Dion akava jarida la Vogue akiwa mtupu


Mwanamuziki mkongwe duniani Celine Dion amekava kwenye jarida la Vogue akiwa mtupu.
Mwanamama huyo mwenye miaka 49, ni moja kati ya wanamuziki wenye heshima kubwa duniani, Kupitia mtandao wa Instagram wa jarida hilo wameweka picha inayomuonesha muimbaji huyo akiwa mtupu pamoja na picha zake nyingine.

Katika Jarida hilo Celine amefunguka mambo mengi kuhusu maisha yake pamoja na mitindo.

0 comments:

Post a Comment

Internet Radio