Pages

HH

Tuesday 8 August 2017

MWANAMUZIKI KING BLAISE, AKIRI KURUDI FM ACADEMIA NA HII NDIO SABABU YA KUONDOKA FM ACADEMA KABLA..

Image may contain: 3 people, people smiling, people standing

King Blaise alifunguka baada ya kuulizwa swali kwenye Facebook groupe la watu wazito watu wakubwa watu wanaojua music wa dance Tanzania la CHEZA KI DANCE  je ni kweli umerudi kwenye Bendi yako ya zamani ambayo ulikua unapiga na iliyokupa mafanikio mpaka kuitwa MFALME WA MARAIS WOTE?  bila kumun'gunya maneno wala kupepesa macho KING BLAISE alisema Nyumban ni nyumban nasana kilichonivutia kubadilisha uwongozi tumeanza awamu upya na rais mpya tumemchagua wenyewe pachot Mwamba.ni anaushirikiano ili bend yetu ulikuwa inakosa mwelekewo kwa ubinafsi wa rais mstafu nani yeye alie sababisha mi kuenda kufanya biashara nikawa naenda napiga ma swoe tofauti ulishuhudia nimerudi nilikuwepo nipo natakuwepo ngwasuma ila waweza kuwa na viashara yako inje ya nyumbani mular usifunje kanuni ngwasuma tumenzisha wenyewe natutilinda.asante tukutane friend corner manzese Leo 8.8 Kwahio wapenzi wa ngwasuma leo Braise atakua ukumbi wa Friend corner na Fm academia kuangusha burudani la kufa mtu lile mlilolimiss kutoka kwake 


0 comments:

Post a Comment

Internet Radio