Pages

HH

Saturday 14 October 2017

BIRDMAN KUZIONDOA TATTOO ZAKE ZA USONI


Birdman hazitaki tena tattoo zake za usoni. Bosi huyo wa Cash Money amesema atazitoa tattoo hizo alizodumu nazo kwa miaka kibao.

MWANAMKE ALIYEDAI KUBAKWA NA NELLY ATAKA KESI IFUTWE


Mwanamke aliyedai kuwa amebakwa na rapper Nelly wa Marekani kwenye basi lake la ziara wikiendi iliyopita anataka mashtaka hayo yafutwe.

Tuesday 8 August 2017

MWANAMUZIKI KING BLAISE, AKIRI KURUDI FM ACADEMIA NA HII NDIO SABABU YA KUONDOKA FM ACADEMA KABLA..

Image may contain: 3 people, people smiling, people standing

King Blaise alifunguka baada ya kuulizwa swali kwenye Facebook groupe la watu wazito watu wakubwa watu wanaojua music wa dance Tanzania la CHEZA KI DANCE  je ni kweli umerudi kwenye Bendi yako ya zamani ambayo ulikua unapiga na iliyokupa mafanikio mpaka kuitwa MFALME WA MARAIS WOTE?  bila kumun'gunya maneno wala kupepesa macho KING BLAISE alisema Nyumban ni nyumban nasana kilichonivutia kubadilisha uwongozi tumeanza awamu upya na rais mpya tumemchagua wenyewe pachot Mwamba.ni anaushirikiano ili bend yetu ulikuwa inakosa mwelekewo kwa ubinafsi wa rais mstafu nani yeye alie sababisha mi kuenda kufanya biashara nikawa naenda napiga ma swoe tofauti ulishuhudia nimerudi nilikuwepo nipo natakuwepo ngwasuma ila waweza kuwa na viashara yako inje ya nyumbani mular usifunje kanuni ngwasuma tumenzisha wenyewe natutilinda.asante tukutane friend corner manzese Leo 8.8 Kwahio wapenzi wa ngwasuma leo Braise atakua ukumbi wa Friend corner na Fm academia kuangusha burudani la kufa mtu lile mlilolimiss kutoka kwake 


SIKILIZA BUZUKI TIME NOW!! KWENYE RADIO YAKO YA 24 RADIO HAPA!!

KIPINDI CHAKO CHA BUZUKI TIME KINAENDELEA  KWENYE REDIO YAKO YA 
24 RADIO  PATA BUZUKI HELICOPTER  MAYENU YA KWENDA MBELE  UNAWEZA UKABONYEZA  PLAY  KWEYE PLAYER YA REDIO ILIYOPO JUU YA BLOG HII  KAMA ITAKUA HAIJAPLAY AUTOMATIC YENYEWE

Tokeo la picha la LISTEN RADIO HERE PNG

Tuesday 25 July 2017

MWANAMKE ALIYEMSHITAKI USHER KWA KUMWAMBUKIZA GONJWA LA ZINAA ATAKA ALIPWE $40M


Skendo ya Usher kuhusu gonjwa la zinaa la herpes imeendelea kuwa kubwa. Hivi karibuni, mwanamke aliyetambulika kama Jane Doe alimshitaki Usher akitaka alipwe dola milioni 10 kwa kumwambukiza ugonjwa huo.
Na sasa mwanamke huyo amesema amepima na kuonekana ameambukizwa ugonjwa huo wa zinaa na anataka alipwe dola milioni 30 zingine.
Mwaka 2012 muimbaji huyo alimlipa mwanamke mwingine dola milioni 1.1 kwa kumwambukiza Herpes Simplex 2. Jane Doe anadai alifanya mapenzi na Usher mara mbili na mara moja bila kondomu.

Wednesday 12 July 2017

ANGALIA VIDEO YA DADA MWENYE MSAMBWANDA WA HATARI ALIVYO OKOLEWA NA POLISI ASIVULIWE MIN YAKE KKO


Mrembo mmoja amenusurika kuvuliwa nguo hadharani jijini Dar es Salaam baada ya kuvaa kimini kilichokuwa kimeacha sehemu kubwa ya mapaja yake meupe nje. Video iliyosambaa mtandaoni, inamuonesha msichana huyo aliyevaa mini skirt nyeupe yenye mistari mieusi na mkoti mwekundu akiwa amekimbilia kwenye mgahawa wa nje kuepuka vijana wenye hasira waliokuwa wakimzomea na kutaka kumvulisha nguo zake.

MR BLUE ADAI WABONGO HAWAPENDI NYIMBO ZENYE ELIMU

Picha inayohusiana
Msanii  wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mr Blue amezungumzia jinsi ambavyo watanzania walivyoipokea ngoma yake mpya, Siwezi aliyomshirikisha JR. Mr Blue anayetokea kundi la Micharazo ameiambia Dizzim Online kuwa watanzania wengi hawapendi ngoma za kuelimisha.

WIZ KHALIFA AIVUNJA REKODI YA GANGNAM STYLE KWA KUWA NA VIDEO ILIYOANGALIWA ZAIDI YOUTUBE

Video ya wimbo wa Wiz Khalifa ‘See You Again’ aliomshirikisha Charlie Puth imekuwa video iliyotazamwa zaidi Youtube. See You Again imeipiku ile ya msanii wa Korea Kusini, Psy, Gangnam Style kwa kuwa na views bilioni 2.9 huku Gangnam ikiwa na bilioni 2.894.

Friday 7 July 2017

Download Ngoma kali "BODY TARK" kutoka kwa RAY SYTES!!


24 RADIO inakutambulisha kwako mwanamuziki kutoka marekani  anaekwenda kwa jina la Ray Sytes Anazindua ngoma yake kali inayokwenda kwa jina la "BODY TALK" hii ngoma utaisikia hapa kwa mara ya kwanza Tanzania na Africa ameamua kuzindua hapa kwa kua ni redio ambayo inapenya na kuvuka boda  akiwa mwanamuziki mkubwa wenzake walimwambia kua kuna redio online inagonga Ngoma kali masaa 24 hawajui ni ya nchi gani ndipo akaamua kunitafuta na kwa kua imeshakua maarufu maeneo ya kwao kwa heshima akaamua aitambulishe Ngoma yake 24 Radio pia ameambatanisha na video yake ambayo nitawawekea pia  unawez ukam follow kwenye mitandao ya kijamii  pia   Facebook -HAPA Instagram HAPA Twitter HAPA 

Thursday 6 July 2017

Picha: Celine Dion akava jarida la Vogue akiwa mtupu


Mwanamuziki mkongwe duniani Celine Dion amekava kwenye jarida la Vogue akiwa mtupu.
Mwanamama huyo mwenye miaka 49, ni moja kati ya wanamuziki wenye heshima kubwa duniani, Kupitia mtandao wa Instagram wa jarida hilo wameweka picha inayomuonesha muimbaji huyo akiwa mtupu pamoja na picha zake nyingine.
Internet Radio