Pages

HH

Sunday, 2 July 2017

Baada ya kuwashiwa Moto na mama yake Notorious Kendall na Kylie waomba radhi



Baada ya mama mzazi wa marehemu Notorious B.I.G., Bi Voletta Wallace kupaniki kwa kitendo cha familia ya Kardashian ( Kendall na Kylie Jenner) kutengeneza T-shirt bila kumjulisha, hatimaye wameamua kumuomba radhi mama huyo na watu wote waliowakosea.

Saida asema ngoma na diamond na belle 9 lazima wakae hebu soma alichokisema hapa!!


Muimbaji huyo amedai kibao cha ‘Urugambo’ amekitoa kama kifungua kinywa, badala yake watanzania watarajie kupata nyimbo kali mfululizo.
Saida aliyasema hayo wakati wa mahojiano yake na kaka mkubwa GK wa 24 radio  katika kipindi wk end music mix saida aliema hivi hapa mimi pale Diamon kule Bele unategemea nini kama sio kuwatoa jasho raia??

2GAME FT VAN DACH WATAMBULISHA NGOMA YAO LEO BONGE LA NGOMA!!

Msani anaeinukia kwa kasi kwenye Gemu la Bongo flever 2GAME  ametoa  Ngoma yake kali akimshirikisha  Van Dach  wakati anahojiwa kuhusu ujaji wake amesema amelisoma Game muda mrefu na ameamua kuja  kuwapa muziki mzuri mashabiki wake  nyimbo hiyo utaisikia  ikitambulishwa saa 1 usiku leo kwenye redio yetu pendwa ya 24 radio unaweza ukaisikiliza na kuidownload  hapo chini    

Friday, 30 June 2017

‘Kill Jay Z’ yamchana Kanye West

Tokeo la picha la jay z & kanye
Leo hii ndio rapper Jay Z ameachaia albamu yake ya 13, iitwayo ‘4: 44’ katika albamu hiyo kuna wimbo unaoitwa ‘Kill Jay Z’ ambao unadaiwa kumchana rapper mwenzie, Kanye West.

Picha: Mastaa waliohudhuria kwenye mazishi ya rapper Prodigy

Tokeo la picha la Mobb Deep, Prodigy
Alhamisi hii rapper kutoka kundi la muziki wa Hip Hop Marekani, Mobb Deep, Prodigy amezikwa mjini new York.

Wednesday, 28 June 2017

Juacali amfagilia Rayvanny



Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop kutoka nchini Kenya, Juacali ameonyesha kufurahishwa na msanii Rayvanny.


Amemsifia msani huyo kutoka WCB, kwa kusema ushindi wake unaupa sifa muziki wa East Afrika kwa kuutangaza zaidi.

ANGALIA NGUMI KATI YA MEEK MILL NA SAFAREE WAKIMGOMBEA NICK MINAJ ALAFU UONE NICK ALIVYOWAMWAGA WOTE NA KUSEPA SAZE!!



Baada ya kuzichapa kati ya Meek Mill na Safaree siku ya Jumamosi kwenye sherehe ya pre-BET party ya Dj Khaled iliyofanyika Penthouse, West Hollywood, mrembo Nick Minaj amefunguka kuwa hajaumizwa na tukio hilo liliofanywa na ma-ex wake hao.

Sunday, 25 June 2017

FM ACADEMIA KULA IDD BILA NYOSHI …bendi mpya yanukia

Tokeo la picha la nyoshi el saadat

FM Academia “Wazee wa Ngwasuma” itaangusha show za Idd el Fitr bila ya aliyekuwa rais wao Nyoshi el Saadat ambaye ni kama vile ameipa kisogo bendi hiyo. Habari za uhakika zilizofikia 24 RADIO ni kwamba Nyoshi
Internet Radio